TAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2022

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Januari 4, 2023 limetangaza matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne mwaka 2022. Bonyeza hapa chini kutazama Matokeo ya Kidato cha Pili 👇👇👇👇 https://matokeo.necta.go.tz/ftna2022/ftna.htm Bonyeza hapa chini kutazama Matokeo ya Darasa la Nne. 👇👇👇 https://matokeo.necta.go.tz/sfna2022/sfna.htm